eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kuna huyo mimi phase iliyopita nilifika mpaka 1949 nilifungwa kama game 6 mfululizo nikarudi 1800, konami hizo rank zina watu wao bana 😂😂💔
Hahaha jana nimeshenyentwa game mfululizo, Game ya mwisho ndio ilikuwa ya kunirudisha division 2 nilipigwa comeback nikaquit game ndio sijafungua mpaka leo na sina nguvu ya kufungua😅
 
Jamaa ana immovable wall ya 6 defenders😀
Six tena🤣🤣🤣
images (10).jpeg
 
Script ya division. 1 ni nyoko😀
Haifai😃😃😃 Alafu wana kaujinga ka kukaza usifike level fulan mfano me kipind sijafika division 3 division 4 nilikuwa natoka jasho😃😃😃 wakatoka hapo wakahamia Div 2 nimekuja kufika kwa tabu sana baada ya happ naona wameweka kambi division one🤣🤣
 
Back
Top Bottom