eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Edo kissy nimepokea simu kutoka kwa promoter wa mapambano humu JF Mr. Selikavu , nasikia unataka leo pambano liwe live Azam Sports 2 HD saa 4 kamili usiku...

Napenda kuutaarifu umma nitakuwepo na nitahakikisha mashabiki zangu wanafurahi 📌

Nenda training kwanzia muda huu umepewa muda mwingi sana wa kujiandaa mkuu, mimi ndo nimeshtukizwa ila nitaingia uwanjani 😂

NEGAN Mill broh , Razorblade na wengine wengi humu, mjitokeze 😂😎

#KIWAKE. 😎
Harakati za pimbi 😂
 
Sadly nadhan nitakuwa offline kwa muda maana tambo langu limenizingua leo mchana (Storage issues)

Sikupanga kuileta hii news ila nimeona kuna Ulazima

Kama mmeangalia Friends list leo nimetoka...

account yangu nimempa mdogo wangu yeye alipoteza Id yake ya Zaman

Nikilud nitalud na Selikavu ila nadhan sitochukua muda mrefu


Nitakuwepo na Role yangu ya promoter kwa sasa 🔥


Pole zangu za dhati nampelekea Razorblade najua huwezi sikitika hata kdg fresh tuu mwanangu 🤣🤣🤣
Kazi njema 😂
 
Naomba kuwakumbusha kwamba MATOKEO BILA PICHA NI UZUSHI.

Kazi njema.
1000004018.png
1000004019.png

Dakika hiyo sababu, Airtel jau kwake🙌
Tunawaketea mengine
#KUICHAPA
 
Back
Top Bottom