eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Picha lilianzia hapa mechi ya kwanza, comeback ya dakika za jiooni..View attachment 3422387kama mnavyoona MOTM alikuwa super destroyer Adams 😂vichwa, Humu tu View attachment 3422389hii mechi ya 2 ndo ilikuwa ya kutoana damu, nipe nikupe 😂 ila mshindi yule yule.. (nakunywa maji)View attachment 3422390baada ya kujihakikishia ushindi wa best of 3 mapema kwenye mechi za mwanzo, nikaona nisiwaangushe mashabiki zangu mkaona kuwa nilikuwa napata ushindi wa bahati bahati, nikaamua kumtulizia mali kijana alikuwa amewasha attacking bar lakini aliizima akawasha defensive bar kupunguza mashambulizi na kasi ya mpira 😂🤞 na hapo kawasha defensive bar hana goli anajitafuta..View attachment 3422393kama kawaida kwenye vyote siwezi kukosa goli la kona kwa mtu ambae ni mgeni kucheza na mimi, humu tu 😂🤞View attachment 3422394
NADHANI MASHABIKI ZANGU MMEFURAHI SASA 😂🙌

CC Edo kissy 🤞.. Promoter wa pambano Selikavu 🫰

NEGAN Razorblade Mill broh
Aisee 😂

Kazi njema mkuu.
 
Razorblade utaleta timu au unaenda training 🤣🤣🤣
 
😂😂 yani we kwa mpira wako unajua sijui nikushauri nini hapo kaka 😅
Amtafute koller acheze beki🤣🤣🤣
images (7).jpeg
 
Back
Top Bottom