eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Bench warmer tayari, huyu jamaa sio mbaya ila me ndo sijuhi kumtumia au vipi Selikavu
1000089828.jpg
 
Huwa wanafanyeje hawa jamaa
kua na lain 2 yenye bando na Nyingne ambayo haina. Ukifungwa afu game ikawa inaisha Switch Data kwenye lain ambayo haina Bando Then Endmatch..Retry ita Road...alf game itakua unfineshed match ko point hazito decrease sema nin unatakiw kukaz ndy utam wa game👊

#Copied
 
Nataka nijifunze hii si inatumika hata eFootball league kuna watu wanakela sana kule😬
 
Back
Top Bottom