Me shabiki yako unanijua mkuu😃😃😃😹😹leo usiku tuta panda mkuu ,
Hapana sidhani 😃😃Unaweza amisha team kwenye account moja kwenda nyingine ?
Hiyo kutumika ni dharula tu nikikutana na mtu anaetumia 😂Iv kumbe uliacha kutumia😃😃
Kaza hakuna kuwasha under any circumstances 😃😃Hiyo kutumika ni dharula tu nikikutana na mtu anaetumia 😂
Hujui tu inavyouma unakutana na mtu anatumia hiyo halafu anakufunga 2+ kwa msaada wa hiyo kitu 😂Kaza hakuna kuwasha under any circumstances 😃😃
Waliowapata hao hawana raha kwenye magroup huko 😂Tumuulize Gilberto_ 😃😃😃
Inabid ujue game to the extent kwamba mtu akikuwashia smart assist unamfunga comfortablyHujui tu inavyouma unakutana na mtu anatumia hiyo halafu anakufunga 2+ kwa msaada wa hiyo kitu 😂
Ukiniwashia na mimi nakuwashia 😂
😃😃😃Sishindi sana kwenye magroup siku hizi😃😃Waliowapata hao hawana raha kwenye magroup huko 😂
Sasa hiyo mimi sitaki, yani ni jino kwa jino ili na mimi nikuonyeshe kwamba hiyo kitu naiweza 😂Inabid ujue game to the extent kwamba mtu akikuwashia smart assist unamfunga comfortably
We kachungulie tu utakuta wameweka hadi clip ya Denilson, kamtoka kipa vizuri halafu kakosa 😂😃😃😃Sishindi sana kwenye magroup siku hizi😃😃
Drone football imeingiaje hapa mkuu🤣🤣Sasa hiyo mimi sitaki, yani ni jino kwa jino ili na mimi nikuonyeshe kwamba hiyo kitu naiweza 😂
Ukinichezea drone football nakuchezea haram football 😂
Ngoja niende 🤣🤣🤣We kachungulie tu utakuta wameweka hadi clip ya Denilson, kamtoka kipa vizuri halafu kakosa 😂
Nimesema tu maana juzi nilikuwa event ya PvP nilikutana na mtu yeye ni juu juu sana 😂Drone football imeingiaje hapa mkuu🤣🤣
Ndo mpira wangu siku hiziNimesema tu maana juzi nilikuwa event ya PvP nilikutana na mtu yeye ni juu juu sana 😂
Anhaa! Basi sawa.Ndo mpira wangu siku hizi
Denilson 😂😹😹 Edo kissy kapiga kijembe back 5 zangu, itabidi nimchape na hiki cha japanView attachment 3414344