Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Kumbe ulisema moja😃😃Tupige 1 hiyo nilale.
Kumbe ulisema moja😃😃Tupige 1 hiyo nilale.
Mkuu refa kazingua 😂Kumbe ulisema moja😃😃
🤣🤣🤣🤣🤣Niliona baada ya kukufunga kijana ukawasha attacking wakati game imeisha🤣🤣Mkuu refa kazingua 😂
Sijawasha chochote mimi.🤣🤣🤣🤣🤣Niliona baada ya kukufunga kijana ukawasha attacking wakati game imeisha🤣🤣
Umeweka Auto basi😃😃Sijawasha chochote mimi.
Halafu nilikiwa nimerelax nasema mechi imeisha, refa kayoko kweli 😂Umeweka Auto basi😃😃
Me nilikuwa nasema Ref don't Blow maana ungenifunga hii week ingekuwa ya moto
😃😃😃😃😃Kanibeba aseeHalafu nilikiwa nimerelax nasema mechi imeisha, refa kayoko kweli 😂
Saves 6 😂, ila hizi saves zimetokana na ukuta kuwa solid kidogo maana baada ya kuona wanawin beki zangu mipira ukaanza kupiga nje ya 18.😃😃😃😃😃Kanibeba asee
Sema khan wako kazi ninayo
Me kupiga nje ya 18 siwezi acha😃😃😃Saves 6 😂, ila hizi saves zimetokana na ukuta kuwa solid kidogo maana baada ya kuona wanawin beki zangu mipira ukaanza kupiga nje ya 18.
Ilikuwa ni ratiba ya kutumia nafasi, kwenye mashuti matatu niliyopiga on target mawili goli(nahisi)
Training yangu imeisha vizuri ila lawama kwa refa 😂Me kupiga nje ya 18 siwezi acha😃😃😃
Ungeshinda ningeweka wap sura yangu na nilovyokuita room MimiTraining yangu imeisha vizuri ila lawama kwa refa 😂
Nipo training mkuu ila refa kayoko, kasubiri urudishe goli ndo amalize mpira na wakati aliongeza dakika 3 yeye katembea mpaka 5.Ungeshinda ningeweka wap sura yangu na nilovyokuita room Mimi
😃😃😃Dakika za jioniiiiiiiiii Refa anatupa goli la kusawazishaNipo training mkuu ila refa kayoko, kasubiri urudishe goli ndo amalize mpira na wakati aliongeza dakika 3 yeye katembea mpaka 5.
Mwehu yule 😂😃😃😃Dakika za jioniiiiiiiiii Refa anatupa goli la kusawazisha
SupersubMniache na Danielson wangu, winga teleza 😂💔
Mwamba kabisa 😂Mniache na Danielson wangu, winga teleza 😂💔
Mpaka saivi hata na AI hajawahi kucheza 😂💔 daahSupersub
Mpuuzi yule kila mtu anamponda, nani amchezeshe sasaMwamba kabisa 😂
Niuzie basi😃😃Mpaka saivi hata na AI hajawahi kucheza 😂💔 daah