eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

CMF inakaa poa Box box ni wazuri sema sijui kuwatumia naoenda pivot iliyotulia ya Anchorman na Orchestrator. B2B wanazurura sana uwanjani.
Napenda kubalance timu kwenye uzuiaji na ushambuliaji ndiyomaana hapo DMF nimemuweka Amrabat huku nikimsubiria Kante wa bure šŸ˜‚.
 
Muweke uone utakavyolia, orchestrator ni wazuri kwenye double pivot akae na anchorman na siyo acheze peke yake.
Leo nikasema nikaze nipande division... Kwakuwa sina Anchorman mwingine zaid ya Rodri... Nikasema acha nimuweke tuu...

Nikamtrain Guardiola kucheza CMF then nikamuweka Rodri baada ya kukaza vidole siku nzima hatimaye nimpanda division two..

Nb.. mchana wale mapro wanakuwa hawapošŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ila usiku na Asubuhi muda mwingine nakutana na watu wa 3210 kuendelea huko mtu ana maradona, bale wa 107 anakimbia kama ana mota yan ni kazi kwel kwel

Team niliona nichukue Unique kdg niliona watu humu ndani wana adi SantosšŸ˜‚ na maceltic me nikaona Benifica atanifaa uzi wake naukubali mno
Screenshot_20250414-164449.png
 
View attachment 3304042
Daah! Ngoja nikajaribu bahati yangu.
 
Tamaa mbele mauti nyuma, nimeenda nimecheza mechi 4, nimeshinda 1 ila 3 zote nimefungwa šŸ˜‚.

Vile mnacheza wote mnakamia basi goli ni 1 tu kufungwa goli nyingi utake mwenyewe šŸ˜‚.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom