Mnacheza me niwasubilie nilishamaliza events zoteSelikavu bado yupo kwenye events njoo tumalizie
Kazini kuna kazi😀Kanipiga 3 hapa chapchap.
Mbona sikuoni online mkuu.
Mkamalizie ya tatu sasa😀😀
Nipo kakaMbona sikuoni online mkuu.
Njoo tucheze dakika 10 simu yangu inaweza zingua na leo nilipanga Alonso Day na wewe mkuu 😂.Mkamalizie ya tatu sasa😀😀
Tuma invite kaka me nipoNjoo tucheze dakika 10 simu yangu inaweza zingua na leo nilipanga Alonso Day na wewe mkuu 😂.
Nimecreate room nakuinvite sikuoni online.Nipo kaka
Nimekuona ila ghafla sikuoni tena mkuu.Tuma invite kaka me nipo
Nakungojea mbona hufikiNjoo tucheze dakika 10 simu yangu inaweza zingua na leo nilipanga Alonso Day na wewe mkuu 😂.
Pamoja mkuu, tumepiga mechi nzuri ila wachezaji wangu naona walikuwa slow.Noted kaka,tukumbushane owner awe anaweka excellent kwa team players wote
Mkuu embu invite wewe maana huku naona uko offline.Nakungojea mbona hufiki
Nimekuinvinte mara tatu hujaziona kakaMkuu embu invite wewe maana huku naona uko offline.
Ngoja basi nikuinvite tenaMkuu embu invite wewe maana huku naona uko offline.