Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,969
- 12,437
Nakaza mkuu š.Kaza kakaš
Nakaza mkuu š.Kaza kakaš
Nimefika mkuu.Razorblade mkuu nipo hapa nangojea Xabi Alonso
UtanikutaNimefika mkuu.
Mkuu nina match na Razorblade naomba nikamkamie na yeyešCarnage21
Kijana asee unakabia juu juuššMkuu nina match na Razorblade naomba nikamkamie na yeyeš
Ila salute kwako mkuušnimezidiwa uwezo
Ukabaji wangu wa bahati nasibuKijana asee unakabia juu juušš
PoaUtanikuta
Naona una match ukimaliza nishtue tuu
Nipo na carnage21Naona una match ukimaliza nishtue tuu
Kanipiga 3 hapa chapchap.ššššUnakuta mchezaji wako tegemeo yupo Terrible š
Yanakuja mkuu, carnage21 natumai mechi ya kwanza matokeo umescreenshot.Matokeo myalete hapa kama ikiwezekana...
Mimi nimepigwa na mpira mkubwa nimechezewa
Nilikuwa namuwahi Selikavu mkuu naona kaenda kucheza events.Tucheze ya tatu mkuu mbona umepotea ghafla
Poa ngoja niyaweke.Sijascreenshoot kaka