Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,394
- 12,688
Kushinda 4-3,3-2,5-3 kawaida sana kwa XabiMwendo wa kupeleka moto dakika 90š
Kushinda 4-3,3-2,5-3 kawaida sana kwa XabiMwendo wa kupeleka moto dakika 90š
Sasa unataka kwenye back 5 atumie Build 2, atavuja vibaya mno šNilijua tuuš¤£š¤£š¤£huwezi acha kumssupport š¤£š¤£
Nimemtimua huyo kitambo, nilikoma šXabi ni kocha fulani hivi akiamua kupasuka siku hiyo utaoga mengi sana imewahi kunikuta online mechi moja hivi mpaka nika forfeit
Amna tuwaache wajipange Jumapili si kesho kutwa tu hapoššKwote hukoo
Sawaa mkuu itapendeza basi tutakuwepo hapašššJumapili mara nyingi nakuwa available kwa asilimia kubwa hasa mida kama hii
Usiku wa deni haukawii kukucha kakaššLeo jumatatu mkuu
šššHapa kuna siku atakuja mtu wa 110š¤£š¤£Umenikumbusha kitamboView attachment 3413432
Sasa hivi wachezaji wanajaa mpaka sijui 107 huko zamani kufika 90 tu ilikuwa mzozo kweli sasa hivi hata wachezaji wa hovyo wana 100+ hatari
Amna hawezišššSasa unataka kwenye back 5 atumie Build 2, atavuja vibaya mno š
Yupo online anacheza League nenda kampe invite akitoka aikute
Twende mkuu
Twende mkuu
Mpoteze tu šAmna haweziššš
TuludBando liliisha