Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Enzi hizo ulikuwa huniambii kitu kuhusu FTS😃Thunder black balls dah umenikumbusha mbali. Enzi hizo Aubameyang anasumbua sana
Enzi hizo ulikuwa huniambii kitu kuhusu FTS😃Thunder black balls dah umenikumbusha mbali. Enzi hizo Aubameyang anasumbua sana
Alhamic ni mbali sanaBila kuchelewa 😂, ila hata asiporudi siwezi mtegemea Akanji peke yake, nitapita hata na Puyol.
Nilikuwa nacheza Winning Eleven nikaja kucheza Pro Evolution Soccer ila zote zilikuwa Mod Apk 😂Enzi hizo ulikuwa huniambii kitu kuhusu FTS😃
Tuvumilie.Alhamic ni mbali sana
Fts lilikua moto ila PES 18 na 19 weka mbali na watoto😃Enzi hizo ulikuwa huniambii kitu kuhusu FTS😃
Hapo unyama mkuu.Back 5 kuweka destroyer wawili CB na buld up 1 kati kati beki si itakua unyama special kwa DVNView attachment 3413410
Ilikuwa balaa kucheza mpaka ijae kwanza usubiri mpaka muda fulani ndio ucheze mechi kadhaa tuThunder black balls dah umenikumbusha mbali. Enzi hizo Aubameyang anasumbua sana
Nimeanza 2018 nwezi wa 6 logo ya countinho enzi hizoMkuu wewe umelikuta PES au Efootball
Team Puyol 😃Back 5 kuweka destroyer wawili CB na buld up 1 kati kati beki si itakua unyama special kwa DVNView attachment 3413410
Nilijua tuu🤣🤣🤣huwezi acha kumssupport 🤣🤣Hapo unyama mkuu.
Nilikuwa nacheza Pes lenyewe la Console (Mashine)Fts lilikua moto ila PES 18 na 19 weka mbali na watoto😃
Mimi nachezaga kuenjoy tu sipo serious kiasi hicho nitafungwa mpaka nishangae ila kukufunga ndio lazima nikufunge maana akili yangu inawaza tu kushambulia kujizuia mimi hapana
Eeh hivyo hivyo mkuu😃😃😃Mimi nachezaga kuenjoy tu sipo serious kiasi hicho nitafungwa mpaka nishangae ila kukufunga ndio lazima nikufunge maana akili yangu inawaza tu kushambulia kujizuia mimi hapana