Utanikuta Onlineuje chap
Bale haachwi mkuu yani hatimae natarajia kumiliki blitz curler 😂hivo aiija tutapita naye😂🫰
uje chap
Siku hizi matokeo mnachoma moto au maana hayaji kabisa humu.Utanikuta Online
Muhimu.tunaleta
Siwezi kuwa mchoyi wa fadhila kiasi hicho kwa Konami 😂for free😂
Bado😃😃mkuu vipi umemuona au bado🤔
Wawekee ratiba status ili wajue kuna muda unakuwa busy na kazi(eFootball) 😂Nikapigiwa simu mzee wakati tangu asubuhi hakuna mtu aliyenipigia 😬😬😬😬
Tuwe tunaspine kama Edo kissy kanisani Jumapili muda wa maombi🤣🤣Tusiwe tunafuta zile text za ndagu 😂
Tuludnimeshinda 2 kwa 1 game ya kwanza(nlisahau kuscreenshot)
game ya pili amenifunga moja ila mtandao wake umezingua gatijafika hata half time