Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,074
- 33,781
Ai itakuja ikuueNipe chap mkuu, ChatGpt amenipa ratiba ya mazoezi kwahiyo nataka niingie training kabla hakujakucha š
Ai itakuja ikuueNipe chap mkuu, ChatGpt amenipa ratiba ya mazoezi kwahiyo nataka niingie training kabla hakujakucha š
Aweeešššnipo busy mno na game hata muda huo sina nishapigwa kibuti mapema tuuššNikajua ndo tayari kichwa umelaza kwenye mapaja š
Poa mkuu ila kwangu imegoma nahisi ni kwa sababu ya kocha.Ai itakuja ikuueView attachment 3409475
Oya mida bhana tusiwafanyie fujo wanaopenzika muda huu šAweeešššnipo busy mno na game hata muda huo sina nishapigwa kibuti mapema tuušš
Amegoma kufika mia??Poa mkuu ila kwangu imegoma nahisi ni kwa sababh ya kocha.
Aina nomaOya mida bhana tusiwafanyie fujo wanaopenzika muda huu š
Speed kufika 88.Amegoma kufika mia??
Amna ukishaweka pale kwenye Progression point itasoma 85 ukija kwenye game plan huku ndo itasoma 88Speed kufika 88.
Hazisogei hizo progression, muhimu nimepata destroyer meingine.Amna ukishaweka pale kwenye Progression point itasoma 85 ukija kwenye game plan huku ndo itasoma 88
Hanifai nina Dayot šRazorblade kijana mtafuta madestoyeršššnikutajie mwingine alipo pale kwa akina Kimmich wa Nominating Contract... joao Palinha ni namba 6 alafu Destroyer ššsema anafika 98 ila ni mrefu kwel kwel
Pia ile card ya kimmich pale ni nzuri kaka usiiacheššijaribu siku moja na Anchorman wako Rodri utakuja kuniambiašš
SawaaašššHazisogei hizo progression, muhimu nimepata destroyer meingine.
Ile card ya kimmich wa German mzee achana na hiyo ya capten kubasšššHanifai nina Dayot š
Kimmich niliyenae anatosha na yupo reserve huko š
Sitaki kujaza kikosi kwa vitu visivyoeleweka šIle card ya kimmich wa German mzee achana na hiyo ya capten kubasššš
Alafu huyo Joao Palinha wa pale ni namba sita (DMF)
Mchukueššthen utafanya Fusion ya Kimmich wa capten kubasiššSitaki kujaza kikosi kwa vitu visivyoeleweka š
Sema konami wajanja sana sasa kumuweka Akanji kule kwenye match pass ndo maana yake nini? š
Hayo ya fusion sielewagi aisee.Mchukueššthen utafanya Fusion ya Kimmich wa capten kubasišš
Ndo ujaribu sasaHayo ya fusion sielewagi aisee.
Ndo inasaidia nini kwanza?Ndo ujaribu sasa
Badala ya kumfanyia mchezaji level training unahamisha zile progression point za training pamoja na skills kama ulimtrain kwa mchezaji mpya alafu huyo wa Zaman anakuwa releasedNdo inasaidia nini kwanza?
Nishaijua, hii si ndo ile aliyetuelekeza NEGAN kipindi kile?Badala ya kumfanyia mchezaji level training unahamisha zile progression point za training pamoja na skills kama ulimtrain kwa mchezaji mpya alafu huyo wa Zaman anakuwa released
Kufanya unachagua mchezaji unayetaka apokeee(Mpya) then unabonyeza fusion watakuletea list ya wachezaji unachagua yule anayetaka kutoka