eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kheeh🤣🤣me nikikutana na mtu mbutiaji ananifunga😃😃
Mkuu nimebadilisha individual instructions kwa muongozo wa ChartGpt ndiyomaana kiasi nimepata ushindi kwa wazee wa LB.

Halafu wanakuwa na kusudi wakiona badge ya dvn 2 ile ndiyo wanakamia halafu wengi unakuta wapo dvn 3 😂
 
Umewapaje saivi labda nikazitumie na mimi😃😃
 
Si unajua natumia back 3 sasahivi kwahiyo wakikutana na mimi wanatumia LB wakati mtu umeangalia team playstyle yake ni QC 😂

Kwensa kwa ChatGpt akanipa maelekezo CB za pembeni nizipe defense halafu DMF zote mbili nizipe deep line.

Akanifumbua akili sasa kwamba kuna wakati hizi destroyer zinapanda katikati kujunga kwenye kushambulia, nilivyokuja kucheki ndo naona Tony Adams eti anaassist 3 😂
 
Kheeh🤣🤣🤣 Deepline wawili si uuaji huo
 
Kheeh🤣🤣🤣 Deepline wawili si uuaji huo
Halafu kule mbele wapo huru sasahivi anafunga yeyote ila kama ujuavyo Drogba mzito kumaliza dakika 90 mpaka stamina gauge inakuwa nyekundu maana inabidi nae akimbizane kukaba 😂
 
Baia sitompata
Screenshot_20250719_130016_eFootball.jpg
Screenshot_20250719_130010_eFootball.jpg
 
Back
Top Bottom