Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Hongera sana aseee😃😃pale mbele pamoto sasaNimempata puskas na yilmaz aiseh
Hongera sana aseee😃😃pale mbele pamoto sasaNimempata puskas na yilmaz aiseh
KWa hii ya LBC Pila kazi ni gumu sema nitaimaster tuuMimi nimeweka gradual increase. Ukifika 1500 rating cheza pira kazi😀
Simu ina asilimia 3 ila kesho usiku tukiwashe😀KWa hii ya LBC Pila kazi ni gumu sema nitaimaster tuu
Kama upo twende nikatest mitambo 😃😃 ya LBC
Sawaa sawaa mkuuSimu ina asilimia 3 ila kesho usiku tukiwashe😀
hahaha namfanyisha mazoezi kaka...kabla hatujaingia dvn.....nna yamal pia na kimmich naona kikosi kinakuwa....Kandambili1 naona umempata Puskas kaka😃😃😃✊ hongera sanaView attachment 3401772
Komaa kaka 😃hahaha namfanyisha mazoezi kaka...kabla hatujaingia dvn.....nna yamal pia na kimmich naona kikosi kinakuwa....
Gradually itaniuaKwa upande wangu Gradually kaka.
Umeanza bhngi za maghayoHaina noma, aki jaa apasuke to
🤣🤣🤣 Niazime basi ile ya SergioSiuzi kitu 😅
Wamaijeria hawajui game 😅 endelea kuganda Wabongo ndo watakuuaGradually itaniua
Oya ndebile punguza wenge jingiUmeanza bhngi za maghayo
Ile acc saivi sichezei sana, nimeifikisha division 1 nikaachana nayo nikipiga penati natoka 😅 nampenda Szobozlai kishenz🤣🤣🤣 Niazime basi ile ya Sergio
Komaa kaka 😃
Wabongo naona kama nawamudu hiviWamaijeria hawajui game 😅 endelea kuganda Wabongo ndo watakuua