Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
I repeatOya ndebile punguza wenge jingi
I repeatOya ndebile punguza wenge jingi
Sababu ya Blitz Curler auIle acc saivi sichezei sana, nimeifikisha division 1 nikaachana nayo nikipiga penati natoka 😅 nampenda Szobozlai kishenz
Njoo Efootball ungekuwa pro saivVini, haaland, salah hapo hutoboi kwenye ps kudadadeki 😂
Nili peni ili muone full potential yanguNjoo Efootball ungekuwa pro saiv
Nitakutumia namba za watu wa konami🤣🤣Nili peni ili muone full potential yangu
ehh maana siwezi wafunga bure bure bhana 😂 😂Nitakutumia namba za watu wa konami🤣🤣
Anabahati aisee.Hongera sana aseee😃😃pale mbele pamoto sasa
Cheza pira kazi halafu wawekee na smart assist utakuja kunishukuru 😂KWa hii ya LBC Pila kazi ni gumu sema nitaimaster tuu
Kama upo twende nikatest mitambo 😃😃 ya LBC
Wabongo wanasifa mkuu, sema sikuhizi nawapatia, ni mbele mbele yao tu 😂Wamaijeria hawajui game 😅 endelea kuganda Wabongo ndo watakuua
Huyo atakuwa kama yule jamaa wa Totti wa 105🤣🤣🤣Anabahati aisee.
Smart assist huwezi amini siwezi chezeaCheza pira kazi halafu wawekee na smart assist utakuja kunishukuru 😂
Wabongo me nawamudu🤣🤣🤣Wabongo wanasifa mkuu, sema sikuhizi nawapatia, ni mbele mbele yao tu 😂
Batistuta tena kivipi?
Tungojee tuoneBatistuta tena kivipi?
Basi endelea kupambana nao wakati wenzio wanaitumia kama silaha ya ziada.Smart assist huwezi amini siwezi chezea
Hapo nitazingatia stats zao mkuu ila bado naweza enda na Kaka kwa sababu ni Creative playmaker halafu pia hiyo skill yake itakuwa unyama sana.
Nilijaribu kuwasha nikaona tunapishana 🤣🤣Basi endelea kupambana nao wakati wenzio wanaitumia kama silaha ya ziada.
Wanataka nimchukue tuu na mimi natia mgomo🤣🤣Hapo nitazingatia stats zao mkuu ila bado naweza enda na Kaka kwa sababu ni Creative playmaker halafu pia hiyo skill yake itakuwa unyama sana.
Ili Bale anishawishi kwanza awe SS wa asili halafu stats zake ziwe kubwa kumzidi Kaka.
Naona analetwa tena Batistuta 😂
Kama ni kweli inakuja hivyo nitaondoka na Puyol ila awe Destroyer 😂Wanataka nimchukue tuu na mimi natia mgomo🤣🤣