Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Nimebakiza LB na Outwide kwa sasa ndo sijaitumia🤣🤣🤣ila Out wide sidhani kama nitakuja kuchezeaNow natafuta kocha mzuri wa QC niijaribu nayo
Nimebakiza LB na Outwide kwa sasa ndo sijaitumia🤣🤣🤣ila Out wide sidhani kama nitakuja kuchezeaNow natafuta kocha mzuri wa QC niijaribu nayo
Wanakera pale wanakuwashia taa na vimulimuli halafu unaletewa mchezaji kavaa jezi za konami 😂Aweee🤣🤣🤣kama spine 20 nimetoka hola damu yangu ni ya kunguni
Washenzi sana🤣🤣🤣Wanakera pale wanakuwashia taa na vimulimuli halafu unaletewa mchezaji kavaa jezi za konami 😂
Unampiga level training huyo anajaa vizuri, unamtia first eleven 😂Daah Konami 😂
Hata huyo anafaa mkuu 😂WTF🤣🤣🤣
Nilikiwa nakasirika najisemesha mwenyewe “Msiwe mnanipa hizi free spin kwenye account yangu” 😂Washenzi sana🤣🤣🤣
Hizi za free bora wasilete tuu🤣🤣🤣tuendelee kuwa sawaaNilikiwa nakasirika najisemesha mwenyewe “Msiwe mnanipa hizi free spin kwenye account yangu” 😂
Wanatuchosha tu 😂Hizi za free bora wasilete tuu🤣🤣🤣tuendelee kuwa sawaa
Ngoja wawalete wote...Hivi bado hamjachagua mtamchukua mchezaji gani kwenye selection contract 😂
Binafsi yule anayeonekana pale “Kaka” ndo mchezaji nitakaemchukua.
Mapema saaaaaaaaaaaaana kufanya maamuziHivi bado hamjachagua mtamchukua mchezaji gani kwenye selection contract 😂
Binafsi yule anayeonekana pale “Kaka” ndo mchezaji nitakaemchukua.
Wamelete Rumminnegga pale uone kama habadilishi gia anganiMapema saaaaaaaaaaaaana kufanya maamuzi
Hata wakija wote kama hatakuwepo SS wa asili mwenye stats kubwa basi chaguo langu ni Kaka.Ngoja wawalete wote...
Kwa sasa ninashida sana na SS au CB(Destroyer) ndiyomaana kwahiyo machaguo yangu kwa asilimia kubwa hayatacheza nje ya hapo.Mapema saaaaaaaaaaaaana kufanya maamuzi
Usiiote hiyo, haiji 😂Wamelete Rumminnegga pale uone kama habadilishi gia angani
Basi hakuna neno😃Hata wakija wote kama hatakuwepo SS wa asili mwenye stats kubwa basi chaguo langu ni Kaka.
Nimempata puskas na yilmaz aisehNishaspine kama mia mbili pale hola🤣🤣