Tungemaliza Ile mechi ungenifunga ngapi Sasa🤣🤣
Si kama Owen wangu nilipata setting zake akafika 104 bila hata kocha wa double boosterMkuu kuna mtu anatumia Alonso lakini Batigoal kafika 105.
Me nimenunua kocha jana 500😃😃😃 200 nikaspine kwa akina pele na mia nikaspine pale kwa POTW😃😃😃Kijana jitahidi uwe na coins za kutosha bhana 😂
Ninazo coins 1200 tayari naleta jeuri 😂
Kumbe upo turukePele huyo akipita harudi tena😂😂
Washanigeuza kenge kaka🤣🤣🤣🤣Unamfundisha mchezo mchafu 😂
Aweee🤣🤣🤣kama spine 20 nimetoka hola damu yangu ni ya kunguniNenda tena 😂
Kaka nilipigiwa nalud nakuta ushaingia event alafu sijui ni network yako ulikuwa unasimama mno 😃😃😃
🤣🤣🤣🤣Me nilikuwa naona raha kufunga maana nina kocha mpya kwahiyo nataka kummaster🤣🤣Tungemaliza Ile mechi ungenifunga ngapi Sasa🤣🤣
Sokapohapo🤣🤣🤣Ongeza mia mbil 😂
Ilikuaje ukasepa!?🤣🤣🤣🤣Me nilikuwa naona raha kufunga maana nina kocha mpya kwahiyo nataka kummaster🤣🤣
Nilipigiwa simu kakaIlikuaje ukasepa!?
DLF sio card zangu na target man hawafai kwa mchezo wangu🤣🤣🤣🤣Pele huyo akipita harudi tena😂😂