Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,074
- 33,784
Beki ya Barcelona kwel awe destroyer labda AraujoKama ni kweli inakuja hivyo nitaondoka na Puyol ila awe Destroyer š
Beki ya Barcelona kwel awe destroyer labda AraujoKama ni kweli inakuja hivyo nitaondoka na Puyol ila awe Destroyer š
Nimeangalia card zake zote za nyuma ni destroyer, hii ni prediction tu wenyewe wamesema tarehe 17/7 ndo watatoa card zingine.Beki ya Barcelona kwel awe destroyer labda Araujo
Ngoja tungojee kakaNimeangalia card zake zote za nyuma ni destroyer, hii ni prediction tu wenyewe wamesema tarehe 17/7 ndo watatoa card zingine.
Account zako zote mbili nazitamaniš¤£š¤£š¤£šššEty Kali balaašš
Zote mbili amaš¤£š¤£š¤£
Oya mbona umecheza QC badala ya LBC sasa?Razorblade Ukiona sipo huku nshtue hata normal ššškwa namba ya Tayana wog yako si unaitunza kama sukari yaoš¤£š¤£š¤£
š¤£š¤£š¤£š¤£Oya mbona umecheza QC badala ya LBC sasa?
šššWakati game inaanza ulitoa Qc ukaweka LBCOya mbona umecheza QC badala ya LBC sasa?
Hamna LBC niliweka kabla hatujaingia uwanjani maana tayari ulisema tucheze LBC, settings nilienda kuzima smart assist.šššWakati game inaanza ulitoa Qc ukaweka LBC
Sasa LBC kwa LBC long balls hazifanyi kazi maana backline inakuwa nyuma sana ndo maana ikabid nicheze pass fupi
Niliangalia tulivyoingia room ilikuwa Ni QC then ulivyopiga pause nikaangalia nikaona LBC nikasema hapa sawašHamna LBC niliweka kabla hatujaingia uwanjani maana tayari ulisema tucheze LBC, settings nilienda kuzima smart assist.
Au wewe ulitaka utumie LBC mie nitumie QC?
Ndiyo niliweka LBC sasa nashangaa wewe unapiga vipasi vyako šNiliangalia tulivyoingia room ilikuwa Ni QC then ulivyopiga pause nikaangalia nikaona LBC nikasema hapa sawaš
Lakin huu ndo mchezo wangu hata niweke possession game Qc ndo itachezwa šš
Kumbe ulizima smart assistšš
Nilikua naminyana na AI natafuta badge ya division 1šNimeingia nimekuta wewe upo online pamoja na Negan na Mill broh nikatuma kwa wote watatu hakuna aliyekuja...
Me washanishinda hawa jamaaNilikua naminyana na AI natafuta badge ya division 1šView attachment 3403647
š¤£š¤£š¤£š¤£Siwezi acha mpira wanguNdiyo niliweka LBC sasa nashangaa wewe unapiga vipasi vyako š
Wakati nacheza event niliwasha š