Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Embu kampange tumwone account zako zote hayupo🤣🤣🤣Ivi hakuna tajiri humu aliyempata Pele au ndio nipo peke yangu😂🙌
Embu kampange tumwone account zako zote hayupo🤣🤣🤣Ivi hakuna tajiri humu aliyempata Pele au ndio nipo peke yangu😂🙌
Unatafuta tu sababu ya kutunza coin 🤣🤣😂😂🙌 Uongooo
Huwa namuweka Saka.Edo kissy Mkuu kwa ushauri wangu Fullback stamina inabid awe nayo kuanzia 90 plus huyu Marquinhos kama hana 80 ni 79 second half anakuwa hoi sana 😃😃tafuta tu RB mwingine kuna Kimmich pale yupo vizuriView attachment 3401775
Semaa LBC ni kama mabeki hawachoki hivi wanaochoka ni ma striker ila ingekuwa kwenye Quick Counter 😃😃😃second half mtu anasoma RedHuwa namuweka Saka.
Nzuri sana kwenye kukaba ila naona kama Long Balls inanisumbuaWanachoka mkuu😂 vipi umeionaje LBC
Sasa shida ya Long Balls beki hazitoki😃😃😃yale mapass ya Guardiola yanaishia kwa Kim min jae na Bastoni...Ipo vizuri mkuu,
Sema mwenyew Kuna mda naonag jau inafaa sana kwa Haram football ukiijulia vizuri 😂
WTF🤣🤣🤣
Nimeghairi ile pack ya Messi, nazijaza kusubiria pack mpya.Me nimenunua kocha jana 500😃😃😃 200 nikaspine kwa akina pele na mia nikaspine pale kwa POTW😃😃😃
Ni kauli mbiu yako lakini 😂Washanigeuza kenge kaka🤣🤣🤣🤣
Tusibiri tu mpya kaka hakuna namna😃😃😃me na wewe wachezaji tutawapata kwa coin nyingi sanaNimeghairi ile pack ya Messi, nazijaza kusubiria pack mpya.
Sio yangu ya Negan🤣🤣🤣Ni kauli mbiu yako lakini 😂
Now natafuta kocha mzuri wa QC niijaribu nayoSasa shida ya Long Balls beki hazitoki😃😃😃yale mapass ya Guardiola yanaishia kwa Kim min jae na Bastoni...
Ila ingekuwa mtu wa QC au possession Game zile zote owen anawatoka mabeki