eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Konami mambo gani tena haya, Ushindi tunapata kwa tabu huku kila mtu anakamia show😡
1000082183.jpg
1000082184.jpg
 
Kikubwa nimeshinda tena hii LBC naona kama ina kitu
Hiyo unyama sana we huoni watu wanalialia kwanini hawakumchukua Gesperin maana kupata kocha mwenye hizo playstyle zote(QC na LBC) kwa wakati mmoja ni uongo.

Ukizingatia ndiyo playstyle zenye hatari na pendwa kwenye game kwa sasa.
 
Panga siku tukacheze LBC iwe LBC day
 
Back
Top Bottom