eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Na pale nina kocha wa Possession Game Luis Roman sichezi Quick counter kule😃😃😃


Beki nilipata Wan Bissaka ni Defensive 😃😃😃 yule Lorenzo namchezesha CB kule pemben kwahiyo kupanda hapo sio leo
Aisee ni hatari 😃 nikipunguza watu hawaishi 😃. Kwa level uliyofikia ukiamua ku push division 1 unafika
 
Aisee ni hatari 😃 nikipunguza watu hawaishi 😃. Kwa level uliyofikia ukiamua ku push division 1 unafika
Bado kuna sijaperfect kwenye pasi na dribble ngoja niendelee kukomaa nikilud division ni moja kwa moja Divi 1 nianze kelele kwa Razorblade, 😃 😃
 
Wakuu Kandambili1 ameiva tayali😃😃Ruksa kugusa nae
Screenshot_20250629-133525.png
 
Back
Top Bottom