eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nawapa tabu sana maana wakiangalia kikosi hakieleweki halafu boli linatembea 😂

Sijakutana na wa level yangu bado hawa wengine nakuwa kama nafanya mazoezi tu 😂
Unawaonea😃😃😃


Weka kikosi kwenye simu mpya basi weka ataa kwa mochi cloner tucheze😃😃😃
 
Unawaonea😃😃😃


Weka kikosi kwenye simu mpya basi weka ataa kwa mochi cloner tucheze😃😃😃
Wakati mwingine nacheka tu maana wachezaji wenyewe wanakuwa slow halafu hawanifungi 😂
 
Oya hii account kwa mara ya kwanza imenifanya nitumie back 5 na hii ni baada ya kufika dvn 5 na kuanza kukutana na wanaojiweza.
20250630_002815.png


Nilivyofika dvn 5 mechi 2 za kwanza nimepigwa 2-1 na ingine nikapigwa 1-0, nikajaribu kucheza na back 5.

Mbuzi wa kafara akala 3-1, akakimbia 😂
20250630_002709.png


Sijapenda kwa yeye kukimbia dakika ya 87, angemalizia tu dakika zilizo baki
20250630_002724.png


Na kosi lote hili
20250630_002748.png


Na mwingine nae akajichanganya nikamuwekea back 5 kama kawaida, akakomaa dakika 90 na amenifikisha dvn 4.
20250630_002849.png

20250630_002929.png


NB: Baada ya kuweka back 5 limetumika haram football 😂
 
Konami sijui wanatatizo gani na mimi 😭, kwenye account yangu nimepewa uozo halafu account ya jamaa nimepewa Jude 😂
Screenshot_20250630-062531.png


Na kocha nimenunua, huyu jamaa itabidi anipatie hata ya maji ya kandoro 😂
Screenshot_20250630-062206.png

Screenshot_20250630-062217.png


Mwingine huyu ameikimbia back 5 😂
IMG-20250630-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom