Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,393
Mkuu sijui akili yangu inakuwa wapi maana karibia mara zote walizonifunga ni wanafanya comeback.Solution ni kuwapelekea moto mimi nimewafunga mara moja tu.
Kaa na mali shambulia kwa mipango. Lakini pia press kwa timing kwenye mipira 50/50 tu muda mwingine tumia match up. Usiwape chance kabisa ya kupiga shuti goliniView attachment 3387053.