Jamaa winger mmoja matata konami wameona anafaa kabisa kwenye kikosi chako🤣🤣🤣
View attachment 3384368View attachment 3384369mmesema hamtaki trick sawa.
Hatuji room🤣Kidogo sio sana
Adrian according to hawa jamaa ni Striker Instincts na Pedri ni TechniqueView attachment 3384372View attachment 3384373naombeni booster zao
Pedri mweke upande wa Bellingham 😃😃😃 awe anazizungusha pale karibu na Goli kwa mguu wa kulia...
Ebu niishi nazoAdrian according to hawa jamaa ni Striker Instincts na Pedri ni Technique View attachment 3384411View attachment 3384409
🤣🤣🤣🤣Ukipata kocha wa booster mbili ya Speed na acceleration anafika 70 bado speed nzuri kabisa🤣🤣😅😅😅
Winga ana speed 69 dadeki😹😹😹
Tupo pamoja😃😃😃jioni nitapanda nije kuwakamiaSawa mkuu
Sio kukubonda tuu kukubonda na kikosi ya 3086😃😃Unibondee
🤣🤣🤣twende saiviUsinitishe mkuu, unajua nliacha kucheza wiki ya pili sasa kisa vipigo
Nitakupiga utachagia kikosi gani.
Mtupatie basi na sisi tuyoe vigundu 😂Nimevitoa kwa Mill broh 😂