Mill broh
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 346
- 816
Good gameThunderkick
Good gameThunderkick
😅🙏Good game
Watanipa tu na mimiJichanganye 😂
Aya basi sawaa tutaenda kucheza nitaweka kikosi kinachokalibiana na chako😃Haina mzuka 😂
Undugu wetu upo wap??
Undugu wetu upo wap??
Umoja wetu upo wap???
Ushirikiano wetu upo wapi??
Utanzania wetu upo wapi???
Upendo wetu upo wap???
Matokeo yapo wapi wakuu??
Matokeo yalikua hivi😅😅Results broo
Kaka umeweza kumkazia Mill bro basi mimi nikija saivi nitafungwaMatokeo yalikua hivi😅😅View attachment 3383315
😅😅kaka ili bidi niweke hivi kwanzaKaka umeweza kumkazulia Mill bro basi mimi nikija saivi nitafungwa
🤣🤣🤣Bila hivyo kaka ungekufa counter swafii kabisa😅😅kaka ili bidi niweke hivi kwanzaView attachment 3383336
😅😅nili shtuka game ya kwanza ,🤣🤣🤣Bila hivyo kaka ungekufa counter swafii kabisa
Weka kosi kubwa.Aya basi sawaa tutaenda kucheza nitaweka kikosi kinachokalibiana na chako😃
Umeanza kuiva mkuu.
Hapana siwezi weka mzee kosi yako ya elfu mbili niweke cha elfu tatu🤣Weka kosi kubwa.
Mtu kapiga man marking mzee Mill Bro ni wa motoUmeanza kuiva mkuu.
Nawe umeanza kuwa kama wale wa group za WhatsApp, mie ndo mchezaji siyo kikosi.Hapana siwezi weka mzee kosi yako ya elfu mbili niweke cha elfu tatu🤣
Ndo nimeona, amenisikitisha sana 😂Mtu kapiga man marking mzee Mill Bro ni wa moto
Amna siwezi mkuu hakuna radha napoteza muda tuuNawe umeanza kuwa kama wale wa group za WhatsApp, mie ndo mchezaji siyo kikosi.