NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Adriano Striker's instinctView attachment 3384372View attachment 3384373naombeni booster zao
Pedri Ball carrying/ Technique
Adriano Striker's instinctView attachment 3384372View attachment 3384373naombeni booster zao
Kwa kikosi hiki ukishindwa kufika divison 1 inabidi upigwe viboko😃
Nyie mna agenda gani mbona kama mna mganga mnaye uwakika ana odds mbili za uhakika 🤣🤣🤣
Afute game tuu🤣🤣🤣🤣Kwa kikosi hiki ukishindwa kufika divison 1 inabidi upigwe viboko😃
Hili kosi ungepata kama nakuona unavyokiwasha divison 1 saa hii😃Afute game tuu🤣🤣🤣🤣
Daah acha tu mkuu😃😃😃ndo maana nimekuwa mtoa ushauri tuu😃😃😃Hili kosi ungepata kama nakuona unavyokiwasha divison 1 saa hii😃
Daah acha tu mkuu😃😃😃ndo maana nimekuwa mtoa ushauri tuu😃😃😃Hili kosi ungepata kama nakuona unavyokiwasha divison 1 saa hii😃
Me nimekuja juzi nina badge ya division two...😂😂Daah naukosea heshima Uzi muanzishaji nipo div 3
Ebu nifike
Kaza kaza badge za division one ziongezeke humu kwa sasa zipo tatu kama sijakosea Negan , Gilberto na Mill BrohNahakikosha nitafika mkuu 🤝
Hahaha mkuu...m Mimi pvp nimeshindwa aiseh nipo league Ai dvn 4 naona naenda divn 2 kesho..Me nimekuja juzi nina badge ya division two...
Ukikaa hovyo Kandambili atakupita😃😃😃
Hao Ai utawakimbia siku sio nyingiHahaha mkuu...m Mimi pvp nimeshindwa aiseh nipo league Ai dvn 4 naona naenda divn 2 kesho..
Shida ya pvp Network inaniangusha sana sana....nimebakisha match 5 nahitaji point 3 sema network ndo inanifanyia nisiwakande vizuri.
Mkuu itabidi nirudi pvp tu .hahahaa....Kuna two option ya Kona nawabondaa sana....Hao Ai utawakimbia siku sio nyingi