Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Kuna mmoja nataka kumuongeza hapo ili nimtoe Dayot ila konami wameramba coins 300 na sijampata ila ninao tu mpaka nimpate 😂Back 3 ni ipo balanced na beki za kucheza back 3 pia unazo.
Kuna mmoja nataka kumuongeza hapo ili nimtoe Dayot ila konami wameramba coins 300 na sijampata ila ninao tu mpaka nimpate 😂Back 3 ni ipo balanced na beki za kucheza back 3 pia unazo.
Labda utoke nje ya uwanja 😂
Ndio alikuwa huko, Leo nimeweka auto arrange nimemkuta kwenye sub.Si ungemuweka reserve tu mkuu 😂
Spanish event angekusaidia sanaNdio alikuwa huko, Leo nimeweka auto arrange nimemkuta kwenye sub.
Tangu mwaka jana hajacheza match yoyote alikuwa anaelekea kutimiza mwaka bila kucheza😅
Usingemuachia 😂Ndio alikuwa huko, Leo nimeweka auto arrange nimemkuta kwenye sub.
Tangu mwaka jana hajacheza match yoyote alikuwa anaelekea kutimiza mwaka bila kucheza😅
Hata spanish uwa anakaa sub😅Spanish event angekusaidia sana
Nina siku 2 tu mkuu nipo dvn 6 sahiziUmeanza kulicheza lini mkuu
Em tuone squad yakoKuna wenzangu nao wana mbappe, Ronaldo lakini nikiwafuma nabamiza kweli kweli
Mkuu Nina maneno mengi tuEm tuone squad yako
Una mtu anakuelekeza au unacheza kibabe tuu😃maana kuna vitu vingi inabid uwe na mzoefu anakupa maelekezoNina siku 2 tu mkuu nipo dvn 6 sahizi
Mwanzo mgumu😃Kuna wadau watatu nimekutana nao sio poa....
Kuna huyo anapiga pasi zaidi ya 200 Yani dribble hafanyi kabisa....Kuna mwingine wachezaji wake wanaspeed akipiga counter tu nabondwa...
Unawakuta wanyonge wenzako😃😃Kuna wenzangu nao wana mbappe, Ronaldo lakini nikiwafuma nabamiza kweli kweli
Mkuu nacheza kwa kufuata maelekezo ya humu...Una mtu anakuelekeza au unacheza kibabe tuu😃maana kuna vitu vingi inabid uwe na mzoefu anakupa maelekezo
Kweli mkuu sema wanaonizidi ni wale wenye special players above 90 ndo wananifumua kweliMwanzo mgumu😃
Huyu nitamfunga muda sio mrefu ngoja nitrain kwanza kikosiNEGAN kazi yako nyingine hujampa hata comment 😃😃😃