eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

NEGAN nimejaribu back 3 ipo vyema kwenye defense maana ukiwa unashambuliwa nimeona inabadirika yenyewe kuwa back 5.
View attachment 3362629

Konami wamekula coins zangu 300 na hawajanipa naemtaka, sikati tamaa mpaka wanipe naemtaka 😂
Hii nzuri kwa sababu na wewe umeliwa coin unyama kabisa😃😃😃


Washushe LMF wako na RMF chini kidogo
 
Nimekuvumilia sana aisee
1000057183.jpg
1000057186.jpg
 
Back
Top Bottom