Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,075
- 33,785
Mwache mbappe bhana striker ya boliš¤£š¤£Ulikuwa haujui kama ni Bullet Header sio š afu wewe mara nyingi cross zangu huwa unazinasa. Nakukomoa sasa naanza kukuwekea Nunez š¤£
Mwache mbappe bhana striker ya boliš¤£š¤£Ulikuwa haujui kama ni Bullet Header sio š afu wewe mara nyingi cross zangu huwa unazinasa. Nakukomoa sasa naanza kukuwekea Nunez š¤£
Hizi card huwa wanazipunguzia makali tena???Wameipunguza makali dah sema kwenye heading bado yupo vizuri akikutana na mabeki wafupi.
Aah hujazishika button vizuri sehemu zilipo kwa hiyo unaweza ukawa unabonyeza sehemu ambapo hakuna kituWakuu Mimi ndo naanza bhana..
Kuna hii shida nakutana nayo....yani pass hazitoki hata niguse mara 3 wala kick, wala through ball....hii shida inaishaje...
Kuna daraja la 9 na 8 nmecheza vyema sana bila shida
Edo kissy kasema hakuogopi kabisa kaka mchana hiyošššMda wa kupasha, Nani yupo
Oya una balaašIts timeš
Wanatoa kadi zenye stats nzuri zaidi automatically kadi za zamani zinaishiwa nguvuHizi card huwa wanazipunguzia makali tena???
Mmeenda kwan??ššOya una balaaš
Vip mmecheza??Muda umefika coop tusisahau pia
UmejitaidišMda wa kupasha, Nani yupo
ššitabidi nipande nae si unajua me ndo kibonde wa humu mna jipigia tuEdo kissy kasema hakuogopi kabisa kaka mchana hiyoššš
Twende mkuuUmejitaidiš
Totti nilimshusha chini nikamuachia torres na drogbašMr Devil umeenda kumakaba Totti utamuweza kwelšššView attachment 3362548
ššsanaa, second half uli instruct wahuni wabaki nyuma ya beki zangu niniUmejitaidiš
PoaTwende mkuu
We una balaa ukicheza ile formation yako 4141 striker Neymar sema umeiacha tuššitabidi nipande nae si unajua me ndo kibonde wa humu mna jipigia tu