Anavuta mabeki anamuachia space CF kufunga vizuri.SS ana impact gan uki muweka yeye na CF Mbele?
Kuunganisha viungo na mshambuliaji/washambuliaji wa mwisho.SS ana impact gan uki muweka yeye na CF Mbele?
Shukrani sana mkuu...home page yangu ni hii hapaAah okay nitakuwa nakupa pia hapa Updates jitaid kuwa active tuu sawaa mkuu watanisaidia na wakongwe wengine pia me mwenyewe new bie sio sana nina miez minne sasa
Kwa sasa nipe screenshot ya home page yako ya Efootball ukishafungua tu game baada ya messi kutoka ile secreen ya mwanzo kabisa inakuwa na match, gameplan, players contract etc
Itume hapa nikupe maelekezo
Arteta amenivusha dvn 7 kwenda 6 leo nmetoka dvn 9 to 6Shukrani sana mkuu...home page yangu ni hii hapa
Kuunganisha viungo na mshambuliaji/washambuliaji wa mwisho.
Anauwezo wa kuchezesha timu kama ilivyo kwa AMF ila tofauti ni kwamba yeye anakuwa karibu zaidi na mshambuliaji/washambuliaji wa mwisho na kuweza kutengeneza nafasi nyingi zaidi kwenye eneo la mwisho.
Anha Noted🙏Anavuta mabeki anamuachia space CF kufunga vizuri.
Upo vizuri hapo imebaki kupata wachezaji tu.Arteta amenivusha dvn 7 kwenda 6 leo nmetoka dvn 9 to 6
Inatosha kaka utakuja uniuwe😅Sawaa mkuu
Una wachezaji wa nne kaka hujawachukua nenda hapo kwenye contract angalia sehemu ambayo wapoShukrani sana mkuu...home page yangu ni hii hapa
Nenda kagawe hizo points acha roho mbaya 😃😃😃Sichezi eFootball League mpaka nipate tambo zuri bila hivyo sitatoboa na mechi zingine nitatoa loss.
Si ungenistua tester hapa nipo kwa ajili yako 😃😃😃Kama ataingia ataona, alinitumia invite nikasema acha niingie kibishi kujaribu back 3.
Game ilikuwa inalag kwangu lakini kwa kiasi nimeona kucheza na back 3 iko njema, licha ya lag lakini mechi iliisha 1-2(nimeshinda).
Dont fall in love with loan players😃😃😃Dream team tuna zipata kwenye league tu
Anafata mipira chini pia mara moja moja akishakuwa bored na mabeki 😃😃😃SS ana impact gan uki muweka yeye na CF Mbele?
Upo vizuri hapo imebaki kupata wachezaji tu.
Ngoja nikawachukue ...nashukuru sanaUna wachezaji wa nne kaka hujawachukua nenda hapo kwenye contract angalia sehemu ambayo wapo
Nikushauri kitu mkuu kwa sasa league achana nayo komaa na events upate coins plus wachezajiArteta amenivusha dvn 7 kwenda 6 leo nmetoka dvn 9 to 6
Ameshakutangazia challenge umeona kwanza😃😃😃Upo vizuri hapo imebaki kupata wachezaji tu.