Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Safi sana, huu uzi unawasaidia na utawasaidia wengi sana.Mkuu nacheza kwa kufuata maelekezo ya humu...
Nmerudi toka page namba 1 nikimaliza narudi uwanjani
Pongezi kwa Edo kissy
Safi sana, huu uzi unawasaidia na utawasaidia wengi sana.Mkuu nacheza kwa kufuata maelekezo ya humu...
Nmerudi toka page namba 1 nikimaliza narudi uwanjani
Nimekutumia request angalia account yenye jina linaloanza na King.Mkuu Nina maneno mengi tu
Sawa mkuu naenda kuangaliaNimekutumia request angalia account yenye jina linaloanza na King.
😂😂ume chafukwa ,kama mimi nilivyo release mess wa 102 na lewandowsky wa 101,Viazi sana hawa
Umejaribu kucheza eFootball league labla na back 3 😁View attachment 3363181
Back 3 tamu nyie 😍, anaetumia username ya finestcruise ni nani?
Selikavu nisaidie kumtag mwenye username ya finestcruise.
Aah okay nitakuwa nakupa pia hapa Updates jitaid kuwa active tuu sawaa mkuu watanisaidia na wakongwe wengine pia me mwenyewe new bie sio sana nina miez minne sasaMkuu nacheza kwa kufuata maelekezo ya humu...
Nmerudi toka page namba 1 nikimaliza narudi uwanjani
Ukicheza week nzima watakupa Mbappe, foden pamoja na VVD ,,Kweli mkuu sema wanaonizidi ni wale wenye special players above 90 ndo wananifumua kweli
😃😃Una spirit mzee🙌🙌🔥Huyu nitamfunga muda sio mrefu ngoja nitrain kwanza kikosi
Aah sawaa mkuuApitie uzi taratibu info zote zipo nyuma
Huyu jamaa nishamsahau nimejaribu kusearch hiyo message yake haiji kabisa yenye username yakeView attachment 3363181
Back 3 tamu nyie 😍, anaetumia username ya finestcruise ni nani?
Selikavu nisaidie kumtag mwenye username ya finestcruise.
Nakutumia request kwenye game naunga kwanza bundle29651539
Sawaa mkuuNakutumia request kwenye game naunga kwanza bundle
Sichezi eFootball League mpaka nipate tambo zuri bila hivyo sitatoboa na mechi zingine nitatoa loss.Umejaribu kucheza eFootball league labla na back 3 😁
Me back 3 nitacollect nyingi sana kwenye nyavu
Master SelikavuAah okay nitakuwa nakupa pia hapa Updates jitaid kuwa active tuu sawaa mkuu watanisaidia na wakongwe wengine pia me mwenyewe new bie sio sana nina miez minne sasa
Kwa sasa nipe screenshot ya home page yako ya Efootball ukishafungua tu game baada ya messi kutoka ile secreen ya mwanzo kabisa inakuwa na match, gameplan, players contract etc
Itume hapa nikupe maelekezo
Kama ataingia ataona, alinitumia invite nikasema acha niingie kibishi kujaribu back 3.Huyu jamaa nishamsahau nimejaribu kusearch hiyo message yake haiji kabisa yenye username yake