Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Una moto na game leo kaka😃😃😃nani yupo match moja ya mwisho
Una moto na game leo kaka😃😃😃nani yupo match moja ya mwisho
Hapana mkuu tutaenda tu hiyo keshoNilikua e football league bado upo?
Wa moto mno na yeye 😃😃Totti hatari, Torres sitaki kumuongelea sana ilaa 😂
😅😅mala moja moja sio mbaya,,tupia ya dk 10 tupande,uyo jamaa ajaja uwanjaniUna moto na game leo kaka😃😃😃
Tuombe uhai wote mtamwona,Wa moto mno na yeye 😃😃
OkayNa mimi nakuadd
Myunani username yangu
Simu sikuchaji leo jioni haina chaji mkuu kesho tutaenda😅😅mala moja moja sio mbaya,,tupia ya dk 10 tupande,uyo jamaa ajaja uwanjani
Poa poaSimu sikuchaji leo jioni haina chaji mkuu kesho tutaenda
Me namtaka Totti😃😃😃Tuombe uhai wote mtamwona,
Nimechek kikosi chako mimi na wewe nadhani tumeanza kucheza mwezi mmoja maana na wewe upo na zile card za akina Captain Kubasa sijui...Okay
Ndo kwanza nimeanza kulicheza rasmi juziNimechek kikosi chako mimi na wewe nadhani tumeanza kucheza mwezi mmoja maana na wewe upo na zile card za akina Captain Kubasa sijui...
Inaonekana hulichezi mara kwa mara
Jitaid usikose kupiga zile penalty zao kila siku...Ndo kwanza nimeanza kulicheza rasmi juzi
😶🌫️25450492
Wakileta epics zao za maana the same position zingine zinapotezwa. Hata Tchoumeni huyu kipindi tumemchukua alikuwa anakaba kama vita, baada ya hapo zimeletwa anchor man zingine kwenye epic yeye duh tunamtumia sisi wanyonge tu 😄Hizi card huwa wanazipunguzia makali tena???
Kipara Amrabat amerudi kukichafua na Rodri 😂Razorblade anamkaba kinoma yan hatembei😃😃
Mimi siyo kibonde wewe ila sina simu ya kueleweka, usinifananishe na wewe muulize huyo Mr Devil anaijua shughuli yangu 😂😃😃😃 Kibonde ni mimi humu mkuu nikifwatiwa na Razorblade 😃😃😃
Matokeo bila picha ni... 😂Utanzania wetu upo wapi?
Umoja wetu upo wapi?
Ushirikiano wetu upo wapi??
Upendo wetu upo wap??
Matokeo. Yapo wapi😃😃😃😃
Kwahiyo Pedri wangu kuna siku ataishiwa nguvu 🥺🥺🥺Wakileta epics zao za maana the same position zingine zinapotezwa. Hata Tchoumeni huyu kipindi tumemchukua alikuwa anakaba kama vita, baada ya hapo zimeletwa anchor man zingine kwenye epic yeye duh tunamtumia sisi wanyonge tu 😄