Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
😃😃Ulikuwa friend matchMkuu nimezishika vyema yani nabonya hadi inasogea power range ile na pasi haitoki....nashukuru nimekutana na muungwana hahahah
Hapo ni Graphics sasa zimezidiwa
😃😃Ulikuwa friend matchMkuu nimezishika vyema yani nabonya hadi inasogea power range ile na pasi haitoki....nashukuru nimekutana na muungwana hahahah
Ngoja tukuadd mkuunahitaji kupasha wakuu...nione kama shida ya button imeisha kandambili1 ndio user yangu
Utanzania wetu upo wapi?Waterbender nice match 🤝ila naona mtandao umekata kwako
Huyo haviziii kuna wataalamu wa hizo kazi 🤣🤣Unanivizia mno asee😂
Mechi haikuisha amepigiwa simu tukiwa 2-2Utanzania wetu upo wapi?
Umoja wetu upo wapi?
Ushirikiano wetu upo wapi??
Upendo wetu upo wap??
Matokeo. Yapo wapi😃😃😃😃
Fransisco Totti the Italian Prince umeshindwa kumzuia😃😃😃Totti wako ana balaa lile goli 🫡
Mludi aseee😃😃Mechi haikuisha amepigiwa simu tukiwa 2-2
Twende kwanza tukapasheMludi aseee😃😃
Simu ina tisa hapa ukiona nimetoka ujie imezima ila game mmoja namalizaTwende kwanza tukapashe
Basi tutapiga hata keshoSimu ina tisa hapa ukiona nimetoka ujie imezima ila game mmoja namaliza
Haupo mkuuTwende kwanza tukapashe
Tungenda hata hiyo moja tuu inaatosha sana😃Basi tutapiga hata kesho
Mimi apanani yupo match moja ya mwisho
Nilikua e football league bado upo?Haupo mkuu
Username niku add tupandeMimi apa
vnvkingUsername niku add tupande
Donevnvking
Totti hatari, Torres sitaki kumuongelea sana ilaa 😂Ni kuhama tu huku na kule😃😃🔥
Kipa anaruka adake kumbe anakwepa😂🤣Fransisco Totti the Italian Prince umeshindwa kumzuia😃😃😃