Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,227
- 35,300
UwakikaNext matches uweke dakika 10 tuenjoy š
UwakikaNext matches uweke dakika 10 tuenjoy š
Mi mwenyewe niliiona, duh Ungeniua.šnilkua najarbu settings apo
Hutabiriki weweššMbona mi mwenyewe mchache kakaš.. nipo kwenye form mbaya mno.
Kama kuna kucheza sana ingekuwa kujua game basi ningekuwa nishajuaššš š uchochoro wote lazima uujue
Kaka kaka unacheza na motoššNili sahau nimekuja kushtuka game isha anza š š tukienda match kazaa takuweza
Ubaya ubwela š¤£Afu mechi ya pili ukaniwekea Terrible, nikasema huyu jamaa mbona anataka kunikomoa sijui uliwaza nini ukaenda kubadilisha ukaweka excellent š
Leo fainali kakaTuanze leo wakuu
Jana ilikuwa inasoma 68Kššš
Watu wanauchungulia kimyakimya šJana ilikuwa inasoma 68Kššš
Nuno hafaiLamine kakutana na Nuno leo š
Unajua card yake ninayo na yupo sub huwa nikimuingiza ananipa presha sana maana kumkuta juu kama winga ni kawaida šNuno hafai
šššUnavyomchukia Lamine mzee ššndo kwanza ana miaka 17 mpk afike 30 sijui utakuwa wapš¤£š¤£Unajua card yake ninayo na yupo sub huwa nikimuingiza ananipa presha sana maana kumkuta juu kama winga ni kawaida š
Wafanye kuleta card yake yenye ujazo mkubwa sasa, kitendo cha kumficha Yamal kamdomo amenikosha sana š
We jamaa šKaka kaka unacheza na motošš
Afu hapo akili inaniambia ingia hivo hivo utashinda ila angeniua šUbaya ubwela š¤£
Me namwambia ukwelšWe jamaa š
Ukweli gani mtu ana card ya Nesta ya zamani mno legend kabisa yule šMe namwambia ukwelš