eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Aah hujazishika button vizuri sehemu zilipo kwa hiyo unaweza ukawa unabonyeza sehemu ambapo hakuna kitu
Mkuu nimezishika vyema yani nabonya hadi inasogea power range ile na pasi haitoki....nashukuru nimekutana na muungwana hahahah
 
Back
Top Bottom