eFootball Special Thread

Hii card ya halaand kumbe ni target man๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบkwa mchezo wangu hanifai
 
Bora kukosa speed lakini kwenye pasi iwe unyama, kuwa namba 6 hainamaana kazi yake iwe ni kukaba tu ๐Ÿ˜‚

Rodri yuko bora, speed atatumia za kwangu ๐Ÿ˜‚
Tchou ni mzito kama tank kugeuka ila ana speed rodri mwepesi na anajua kukaa na mali ila akikutana na good dribbler Rodri na ile speed ya kono kono ๐Ÿ˜€
 
Tchou ni mzito kama tank kugeuka ila ana speed rodri mwepesi na anajua kukaa na mali ila akikutana na good dribbler Rodri na ile speed ya kono kono ๐Ÿ˜€
Ndiyomaana kwangu Tony Adams nimempa instruction ya anchor na Beckham nimempa defensive.

Adams hana speed kwahiyo hatopanda juu zaidi na Beckham atarudi chini kumsaidia Rodri wakati huo Rodri nimempa deep line.
 
Mbona hujamtag mlengwa mkuu ๐Ÿ˜‚
 
Guilberto ukicheza nae ni kukamia tuu ukilegeza kidg umekufa tano
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kaka nimebadili username saivi Gilberto_ tu. Mana mwanzo nilikuwa nataka niweke Gilberto kavukavu tu JF wakanikataa nikaamua nijiite Guilberto.

Nirudi kwenye hiyo mada ๐Ÿ˜‚, wewe mwenyewe ulisema twende nikakukamie uwanjani na mi nikasema okay tukakamiane huo moto uliokutana nao mpaka ukaanza kuniambia natumia pads ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
 
View attachment 3353481
Tulikubaliana kuspin mwisho coin 100 wasipokupa basi๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿšฎ
Ninunue kocha wa long ball counter au quick counter then nimcheki mtani๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Kuna mimi na Razorblade Nyota za Kunguni na panzi tumetumia Coin 800 hapo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Razorblade adi kawa Bankruptcy kabisa saiv ana negative pale konami wanamdai๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ