Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,074
- 33,781
Una rodri kaka nipe nitakupa Guardiolaš¤£š¤£š¤£Hauzwi š
Una rodri kaka nipe nitakupa Guardiolaš¤£š¤£š¤£Hauzwi š
Ungeacha mkuu kuna event za English premier league wangekusaidiaNimerelease wote 6 kwaajili ya kupata selection booster, nimebaki na Haaland na Rodri.
Tchoameni card zake adimu kwenye game sijui kwanini.
Nimetoka live huko kaniokoa nimeingiza sub kapiga mbiliNdiyomaana kabaki mzee ila hakuwa kwenye mpango wangu š
Mkuu leo twende nikakukamie umekua adimu sanaAysee aje ššš
Nishamchukua mapema tuu saa 12šš«µWe si ulikuwa unamtafuta Anchor Man. Rodri huyooo
Nahitaji na Tchoumen nikipata pale kati litakufa jituššTchoameni card zake adimu kwenye game sijui kwanini.
Mana si uliona club selection ya Real Madrid ilivyokuja waliletwa kina Camavinga, Mbappe... ila ye hakuwepo.
Ni mwendo wa kujilipua tušMkuu leo twende nikakukamie umekua adimu sana
Amrabat hauzwi we baki na Guardiola wako tu šUna rodri kaka nipe nitakupa Guardiolaš¤£š¤£š¤£
Hizi akili za waoga wa kucheza mpira mzuri š, namba 6 asili wawili kwenye kikosi kimoja ni uoga wa hali ya juu šNahitaji na Tchoumen nikipata pale kati litakufa jitušš
Pambana.Namtafuta uyu mzee ,nianze kutumia LBC coins 1500
Hivi kati ya Tchouameni card hii na Rodri card mpya yupi yupo vizuri zaidi?Ukimuona Tchouameni popote usijiulize mara 2 nunua hata coinsš View attachment 3353292
Rodri overall ni mzuri tatizo lake speed tu. Tchouameni hajui kuoiga pass. Kuhusu Tchouameni nahisi humuelewi sababu hana tight possession kubwašHivi kati ya Tchouameni card hii na Rodri card mpya yupi yupo vizuri zaidi?
Aurelien sijuhi kwanini simwelewagi kabisa. Labla card zake zingine
Ngoja nitunze zimngojeeUkimuona Tchouameni popote usijiulize mara 2 nunua hata coinsš View attachment 3353292
Guilberto ukicheza nae ni kukamia tuu ukilegeza kidg umekufa tanoNi mwendo wa kujilipua tuš