eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hizi akili za waoga wa kucheza mpira mzuri 😂, namba 6 asili wawili kwenye kikosi kimoja ni uoga wa hali ya juu 😂
Sawaaa kaka njoo unifunge basi
GrEtVKmWsAAawNE.jpeg
 
Rodri overall ni mzuri tatizo lake speed tu. Tchouameni hajui kuoiga pass. Kuhusu Tchouameni nahisi humuelewi sababu hana tight possession kubwa😅
Bora kukosa speed lakini kwenye pasi iwe unyama, kuwa namba 6 hainamaana kazi yake iwe ni kukaba tu 😂

Rodri yuko bora, speed atatumia za kwangu 😂
 
Bora kukosa speed lakini kwenye pasi iwe unyama, kuwa namba 6 hainamaana kazi yake iwe ni kukaba tu 😂

Rodri yuko bora, speed atatumia za kwangu 😂
Inategemeana na mchezo wako kama kwangu me Tchoumen anafit vzr kabisa na sioni weakness yake...
 
NEGAN partnership ya Orchestor na Anchorman ni 🔥

Kama ulivyosema

Saiv nashangaa Guardiola akiwa na Rodri anazunguka uwanja mzima bila shida yoyote wakati akiwa na de jong waligawana pande😃😃😃🙌
 
NEGAN partnership ya Orchestor na Anchorman ni 🔥

Kama ulivyosema

Saiv nashangaa Guardiola akiwa na Rodri anazunguka uwanja mzima bila shida yoyote wakati akiwa na de jong waligawana pande😃😃😃🙌
Ndo unajua leo aisee, ukiwa na anchor man halfu CMF awe hole player, orchestrator au box to box, hapo ni burudani tu.
 
Back
Top Bottom