Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,923
- 31,120
Sasa kama me sichezi na wewe tunafanya nini hapa....😃😃Tumeukimbia uzi wakuu.
Sasa kama me sichezi na wewe tunafanya nini hapa....😃😃Tumeukimbia uzi wakuu.
Uzi umetengwa bhana 😂Sasa kama me sichezi na wewe tunafanya nini hapa....😃😃
Me na wewe ndo tumeondoka😃😃😃 tumeenda kutafuta mishangazi huko🤣🤣🤣🫵Uzi umetengwa bhana 😂
Mkuu naomba uniache, nina hasira za furaha 😂
Bahati yako wewe unapenda kuspin hovyo ungekuwa huna coins ungelia 😂
Haaland hakuwa kwenye mpango wangu kabisa akili yangu ilikuwa inamuwaza Rodri, Spin ya kwanza tu wakanipa Haaland nikasema huyu simtaki, kilichonikuta sasa 😂Nitakuwa nawalatea updates za watu waliochoma coin kumpata Rodri🤣🤣🤣
Ndugu msomaji unga nami mtangazaji wako Pascal Mayala njaa kali nikiwa nakuletea updates za moja kwa moja
Sema Razorblade anataka atuue kamchukua na Halaand eti pale mbele umekaba Batistuta na Drogba first half second half anainga Halaand sasa si ni uuaji huu😃😃
Konami washenzi sana kaka me wamekuja kunipa mwishoniMkuu naomba uniache, nina hasira za furaha 😂
Konami walichonifanyia ni unyama sana, coins 800 zimeenda kwaajili ya Rodri 😂
View attachment 3353179
Nimejifunza sifanyi tena ujinga wa kuspine hovyo 😃😃😃Bahati yako wewe unapenda kuspin hovyo ungekuwa huna coins ungelia 😂
Halaand mzuri mzee 😃😃Haaland hakuwa kwenye mpango wangu kabisa akili yangu ilikuwa inamuwaza Rodri, Spin ya kwanza tu wakanipa Haaland nikasema huyu simtaki, kilichonikuta sasa 😂
Ila sijutii hizi ndo spin nazotaka, kumpata mchezaji uhakika hata nitoboke coins 500+ 😂
Hauzwi 😂Kijana Razorblade niuzie bas Amrabati🤣
Nimerelease wote 6 kwaajili ya kupata selection booster, nimebaki na Haaland na Rodri.Konami washenzi sana kaka me wamekuja kunipa mwishoni
Sema kwenye hii pack nilikuwa nawataka wanne Gundogan, Halaand, Rodri na Akanji so me fresh tuu😃😃
Ndiyomaana kabaki mzee ila hakuwa kwenye mpango wangu 😂Halaand mzuri mzee 😃😃
Usiache bhana si unamsemo wako uke wa kenge... 😂Nimejifunza sifanyi tena ujinga wa kuspine hovyo 😃😃😃
Aysee aje 😂😂😂Mill broh sasa si uwaweke wote wawili Tchoumen na Rodri alafu wash bars zote uone kama. Gilberto_ atapata ata on target 😃😃View attachment 3353173
We si ulikuwa unamtafuta Anchor Man. Rodri huyoooHalaand mzuri mzee 😃😃