Huyo blitz curler atatuua mzee๐View attachment 3344376
Njo kwa huyu ๐
Poa ukiingia tu nakutumia invite.Sawa kaka. Tukutane humo Nafungua game hapa
Mi mpaka saivi simuelewi anapaisha tu ๐ nadhani labda mi ndo sina uzoefu na blitzHuyo blitz curler atatuua mzee๐
Malimbe karibu na SAUT njia ya kwenda Luchelele๐๐ mi sipajui bana.. labda iwe Misungwi huko ๐
Kutesa kwa zamu mkuu ๐Razorblade kwa hizi spana inabidi umpige mkono Selikavu ๐คญ
Ohh ume mshusha Sana, yuko vizuriMagame yake yatakuwa yale aina ya candy crush saga.
๐ kumbe na wewe umo.. sawa bana mi nipo Kisesa hukuMalimbe karibu na SAUT njia ya kwenda Luchelele
Angalia tutorial zake u tubeMi mpaka saivi simuelewi anapaisha tu ๐ nadhani labda mi ndo sina uzoefu na blitz
Upo wilaya gani wewe??๐๐ mi sipajui bana.. labda iwe Misungwi huko ๐
Dah hata mimi nalala mapema,๐๐Leo sitaki invite yoyote muwe na usiku mwema......
Razorblade lolote baya likukute room utakayoingia....
Labda Lara Craft ๐Ohh ume mshusha Sana, yuko vizuri
We mbwa si uli sema usiku mwema?, au ndio mbwembwe za kihaya ๐คUpo wilaya gani wewe??
Kumekucha ๐Dah hata mimi nalala mapema,๐๐
MaguUpo wilaya gani wewe??
Atakusimanga sana๐Nishasema siku nikifungwa sijui nitaweka wap sura yangu๐๐๐
Huyu ukiingia uwanjani unammark mapema tuuHuyo blitz curler atatuua mzee๐
Watu mnaijua mwanza aseee๐๐๐Malimbe karibu na SAUT njia ya kwenda Luchelele
Madaktari wana shauri tulale masaa 8, hata mimi nakubaliana nao.Kumekucha ๐