NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Twende mkuuVipi mkuu nifungue game au upo room na mtu?
Twende mkuuVipi mkuu nifungue game au upo room na mtu?
😃😃😃Kaka upo mwanza ipi kama malimbe hupafahamu😃😃Ipo Mwanza? 😃
Sisi watukuja bana 😂
Hakun kitu ujifunza ujifunze nini this is ur destiny hicho ndo kiwango chako kijana😃😃😃😃😃(Jokes)Simu nayotumia inanipotezea ladha ya game mkuu na mzuka unapungua kwa sababu sichezi kwa raha, nataka nianze kujifunza game upya 😂
Nimekutumia invite tayari.Twende mkuu
Umesikia mtandao wake mbovu unataka uende kulipa kisasi sasa😃😃😬braza michezo yako kama ya Waarabu ya kihuni huni tuu😃😃😃Vipi mkuu nifungue game au upo room na mtu?
Nimeisha 😂Hakun kitu ujifunza ujifunze nini this is ur destiny hicho ndo kiwango chako kijana😃😃😃😃😃(Jokes)View attachment 3344371
Labda yupo butimba 😂😃😃😃Kaka upo mwanza ipi kama malimbe hupafahamu😃😃
Nipo na wewe mpaka ufute game...😃😃Nimeisha 😂
Dah 😂Umesikia mtandao wake mbovu unataka uende kulipa kisasi sasa😃😃😬braza michezo yako kama ya Waarabu ya kihuni huni tuu😃😃😃
🤣🤣🤣🤣Yupo JeraLabda yupo butimba 😂
Mtandao airtel miyeyusho tupashe kesho nitajiunga vodaVipi mkuu nifungue game au upo room na mtu?
Njoo unifundishe game mkuu naona NEGAN mtandao wake hauko sawa.Nipo na wewe mpaka ufute game...😃😃
Poa mkuu.Mtandao airtel miyeyusho tupashe kesho nitajiunga voda
😂😂 mi sipajui bana.. labda iwe Misungwi huko 😂😃😃😃Kaka upo mwanza ipi kama malimbe hupafahamu😃😃
Kaona message kwamba mtandao wako unasumbua ndo maana kakukomalia unende RoomMtandao airtel miyeyusho tupashe kesho nitajiunga voda
Simba bingwa 😂Kaona message kwamba mtandao wako unasumbua ndo maana kakukomalia unende Room
Braza ana Michezo ya Al Ahly kabisa😃😃😃
Njoo room mkuu.😂😂 mi sipajui bana.. labda iwe Misungwi huko 😂
Razorblade kwa hizi spana inabidi umpige mkono Selikavu 🤭Hakun kitu ujifunza ujifunze nini this is ur destiny hicho ndo kiwango chako kijana😃😃😃😃😃(Jokes)View attachment 3344371
Sawa kaka. Tukutane humo Nafungua game hapaNjoo room mkuu.