eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Mi kwa Vardy ndo nilipoteza kama 700 hivi
😃😃😃Aseee kumbe familia kabisa kaka
F5CLQ8SXkAAdJpO.jpeg
 
Familia ila we una machungu zaidi 😂 mi wamenipoza kwa huyu Blitz, afu yule Vardy alikuwa phenomenal finishing sawa tu na Gabi Bastituta 😂

How are you feeling? 😂
As long na wewe Mganga mfawidhi wa Konami kutoka gamboshi unapoteza coin hakuna noma😃😃
 
😂😂 mjomba KONAMI ananisaidia sana
Atleast unapoteza na wewe sipo peke angu


Japo nyota yako mzee 🤣🤣🤣

Na hivi bio yako umeweka mwanza nina wasiwasi kama huendi kuspine ziwani sijui🤣🤣🤣
 
Atleast unapoteza na wewe sipo peke angu


Japo nyota yako mzee 🤣🤣🤣

Na hivi bio yako umeweka mwanza nina wasiwasi kama huendi kuspine ziwani sijui🤣🤣🤣
Nilispin wakati napigwa na jua la asubuhi.. Nipo Mwanza sehemu hamna ziwa 😂 kuliona ziwa mpaka nisafiri..😂
 
Ili ukae kwa aman hapana mpaka nihakikishe nimekufunga umeamua kufuta game na hapo na mimi ndo nitafuta😃😃
Simu nayotumia inanipotezea ladha ya game mkuu na mzuka unapungua kwa sababu sichezi kwa raha, nataka nianze kujifunza game upya 😂
 
Back
Top Bottom