Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Sasa una mark mpaka CMF 😂Huyu ukiingia uwanjani unammark mapema tuu
Sasa una mark mpaka CMF 😂Huyu ukiingia uwanjani unammark mapema tuu
Mapema ni saa 9 hiyo kwako😃😃Dah hata mimi nalala mapema,😂😂
Sio CMF Box to Box😃😃😃Sasa una mark mpaka CMF 😂
Hamna huyo pro sasahivi 😂Atakusimanga sana😀
Sasa mbona hapo pa kawaida na Pana julikana, Kama uko karibu nenda mgahawa wa karibu na zahanati uchwara ulizia digidigi uta kula bure.Malimbe karibu na SAUT njia ya kwenda Luchelele
Haha nampiga Deep Line ili nikufunge vizuri kabisa 😂 beki zako zikifocus na huyo unakuwa umeuponzaSio CMF Box to Box😃😃😃
Ukute wanawafata wahindi wa kisukuma 😂Watu mnaijua mwanza aseee😃😃😃
Hahaha kumbe wazawa wengi humuSasa mbona hapo pa kawaida na Pana julikana, Kama uko karibu nenda mgahawa wa karibu na zahanati uchwara ulizia digidigi uta kula bure.
Atajua mwenyewe 😂😂 kwani ni wantedGuilberto hiyo post yenye jina lake Razorblade futa....
TISS hawapend majina yao ya Efootball yaonekane😃😃😃
Umelicheza hilo ulimaliza level zote??Labda Lara Craft 😂
Mbona nimemtoa aliyeingia.We jamaa msaliti, yani ushazama na mtu tayari View attachment 3344386au huyo KingMukhi sio wewe 😂
We kichwaa mapema ni saa sita mzee🤣🤣🤣We mbwa si uli sema usiku mwema?, au ndio mbwembwe za kihaya 🤔
Oya bado unachati na nimekuona kule unacheza 😂 sio bure we umekimbia room auUkute wanawafata wahindi wa kisukuma 😂
Naingia tena.. mi niliona bado upo kwenye mechiMbona nimemtoa aliyeingia.
Mkuu hiyo post hapo ifute aisee kuna watu humu wanalijua hilo jina utakuwa umeniweka matatani 😂Atajua mwenyewe 😂😂 kwani ni wanted
Aah sawaa mkuuMagu
Natumia simu 2 tofauti mkuu, halafu mie mbona sikuoni.Oya bado unachati na nimekuona kule unacheza 😂 sio bure we umekimbia room au
Kaka nipo hapa sema uzuri najua kunywea nitakuwa mpole kama sio mimi😃😃😃Atakusimanga sana😀
Asante muheshimiwa Rais😀Sasa mbona hapo pa kawaida na Pana julikana, Kama uko karibu nenda mgahawa wa karibu na zahanati uchwara ulizia digidigi uta kula bure.