eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Konami bhana kwenye hii challenge ya Barcelona nilikuwa namtaka kounde na Cubarsi wananipa pedri Raphinha na Lamine kwel me nawapeleka wap sasa wakati ninao
 
Hatimaye nitapita na hii pack

Kuna Anchorman na card ya kevin nilikuwa naihitaji
 
Attachments

  • Screenshot_20250522-114422.png
    Screenshot_20250522-114422.png
    1.1 MB · Views: 5
Konami bhana kwenye hii challenge ya Barcelona nilikuwa namtaka kounde na Cubarsi wananipa pedri Raphinha na Lamine kwel me nawapeleka wap sasa wakati ninao
Yani hii ni kama mimi, ila bado ninao maana wamekula coins 100 zangu 😂
 
Back
Top Bottom