Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Sihangaiki na mfumo tena mkuu, kuna mengi ya kuhangaika nayo kwa sasa.Nitakuletea mingi mno 😃
Sihangaiki na mfumo tena mkuu, kuna mengi ya kuhangaika nayo kwa sasa.Nitakuletea mingi mno 😃
Kuhangaika kote huko ni kutafuta mfumo ambao uko balance kwenye defense na attack kwa QC na LBC.Unabadili mifumo kila siku😃
Si ushaambiwa na Negan 442 or 4222Kuhangaika kote huko ni kutafuta mfumo ambao uko balance kwenye defense na attack kwa QC na LBC.
Anatafuta mfumo wa kunifunga mia...Unabadili mifumo kila siku😃
Atulie na mmoja afanye ku masterAnatafuta mfumo wa kunifunga mia...
Me saiv hata itokee nini sibadili 4222 ata nifungwe mia...Atulie na mmoja afanye ku master
Ndiyo AI ameniambia kati ya hiyo mifumo miwili ni bora zaidi kutumia 4-4-2(flat) kwa QC na LBC kwa wakati mmoja.Si ushaambiwa na Negan 442 or 4222
Dah 😂Anatafuta mfumo wa kunifunga mia...
Ni kuhangaika tu mkuu, mie napenda kutumia playstyle zote kwa wakati mmoja ndiyomaana nilikuwa natafuta mfumo ambao utafaa zaidi.Atulie na mmoja afanye ku master
Hapo sasa inabidi nianze kutrain kwenye krosi maana huwasitumii sana.Me saiv hata itokee nini sibadili 4222 ata nifungwe mia...
Burudani kabisa.NEGAN mkuu huu mfumo ndo ulikua una wasiwasi nao😃😃
Eniwei back 3 inanisumbua sana asubuhi nilitaka nikuulize je back 3 unakabiliana nayo vip nikahairisha maana niliona nita expose weakness yangu 😃😃sasa yametimia
View attachment 3340743
View attachment 3340745
Nikikutana na mtu anatumia striker wawili na through ball nampa Tchou deepline ili adili na through ball😃.Ile ni back four maan Tchoumen analud wanakua wanne😃😃😃
Back 3 itanilazimu nicheze na striker mmoja baadae mkuu utakuja nijaribu kucheza kwa 4-1-2-3
Bila kuwa na wingers aah sitoboi hii
Sasahivi natakiwa nimpate DMF(Anchorman) mzuri zaidi.Ile ni back four maan Tchoumen analud wanakua wanne😃😃😃
Back 3 itanilazimu nicheze na striker mmoja baadae mkuu utakuja nijaribu kucheza kwa 4-1-2-3
Bila kuwa na wingers aah sitoboi hii
Strength yako ipo kwenye AMF. Mtu akiwaziwia wasitembee na mpira hutengenezi nafasi kabisa.NEGAN mkuu huu mfumo ndo ulikua una wasiwasi nao😃😃
Eniwei back 3 inanisumbua sana asubuhi nilitaka nikuulize je back 3 unakabiliana nayo vip nikahairisha maana niliona nita expose weakness yangu 😃😃sasa yametimia
View attachment 3340743
View attachment 3340745
Weakness ya 4222 ni wide positions. Na hii formation yangu 3133 ina overload pembeni. Ukitaka kuifunga back 3 vizuri kaa na mali turn halafu uwe good passer.NEGAN mkuu huu mfumo ndo ulikua una wasiwasi nao😃😃
Eniwei back 3 inanisumbua sana asubuhi nilitaka nikuulize je back 3 unakabiliana nayo vip nikahairisha maana niliona nita expose weakness yangu 😃😃sasa yametimia
View attachment 3340743
View attachment 3340745
Kitu roho yako inapenda😃😃😃Burudani kabisa.
yeah maana nilikuwa nikipiga nikassume hapa itawavuka nashangaa Tchou huyu hapa kakamata mali... Imagine through hazipiti na ndo unazitegemea...😃😃ilikuwa kasheshe leoNikikutana na mtu anatumia striker wawili na through ball nampa Tchou deepline ili adili na through ball😃.