Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Owen kakunyanyasa mno😃😃View attachment 3339403
Duuh🤕🚮
Owen kakunyanyasa mno😃😃View attachment 3339403
Duuh🤕🚮
Bahati haikuwa yako na leo... Game ya pili ulikuwa unashinda ujue Miamba umegongesha sana....Daa nimekosa mwangu leo hata sijui ninecheza nini mechi ya kwanza.
Wacha tuendelee kuenjoyNimeona mkuu.
Ila game bhana😂
Sawa master 😂Nipo na wewe mpaka ufe mia siku moja🤣🤣🤣
Usiwe na wasiwasi inachemka taratibu 😂😃😃😃 Mpaka ulud form...
Ila ushaniambia dawa yangu unayo so sitoshinda tena😃😃
Tutaitest tu mkuu, muda umekuwa mdogo sasahivi.Twende tukaitest
Sina umaster kaka si unaona nafungwa mpk mtu anajiuliza iv ushawai shinda kwel 😃Sawa master 😂
Usisahau sukari dawa chungu situmiiUsiwe na wasiwasi inachemka taratibu 😂
Sawaa mkuuTutaitest tu mkuu, muda umekuwa mdogo sasahivi.
Dawa haitiwi sukari.Usisahau sukari dawa chungu situmii
Una uhakika kaka😃😃Dawa haitiwi sukari.
Nafungua game hapa njoo unifunge master.Una uhakika kaka😃😃
Ukija tukaguse leo
Ushaniambia nisahau kukufunga i keep that in mind bro😃😃Nafungua game hapa njoo unifunge master.
Ili unikamie, bado niko train 😂Ushaniambia nisahau kukufunga i keep that in mind bro😃😃
Shida nnIli unikamie, bado niko train 😂
Umefunga room mbona, network naona inalag.Shida nn
Nimeona umeconceide nikajua kuna shida...Umefunga room mbona, network naona inalag.
Kwako unacheza vizuri?Razorblade mbona umeforfeit??