Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Okay tulud me ilikuwa fresh sema wewe kuna muda unasimamaKwako unacheza vizuri?
Inalag kwangu, nimeforteit ili tuingie tena naona umefunga room.
Okay tulud me ilikuwa fresh sema wewe kuna muda unasimamaKwako unacheza vizuri?
Inalag kwangu, nimeforteit ili tuingie tena naona umefunga room.
Inazingua nimeivumilia tangu tumeanza naona inazidi.Okay tulud me ilikuwa fresh sema wewe kuna muda unasimama
Sema usingetoka room sasa tungeforce tu hivyohivyo.Siku nyingine basi mkuu me nimeona raha kufunga kumbe game linazingua
Nachezaje wakati game lako linazingua kaka 😃Sema usingetoka room sasa tungeforce tu hivyohivyo.
We si unashinda tu mkuu 😂, mie naona kuna muda napiga pasi lakini mpira hautoki mguuni, kama shida siyo network basi storage inazingua.Nachezaje wakati game lako linazingua kaka 😃
Owen😃View attachment 3340492
Nichague yupi wakuu ndo namaliza event hapa😎🤏🏿
Na ungeoga nyingi 😃😃Ujipange long ball😂 jokin
Ipo pre season ya lb wewe un invite.
Batistuta au??Account 1 nipite na owen, account 2 nipite na mwingine
ah kukikuch tutagusa kakaKweli kabisa ila ndo ningejua nakosea wapi au ndo nibadilishe kocha.
Nitakuletea mingi mno 😃Nimechoka kuhangaika na mifumo nikaona bora niishirikishe akili mnemba 😂
View attachment 3340582
View attachment 3340583
Sasa nihakikishe natrain kupiga pasi sahihi na kupiga krosi, kuhusu mfumo sasa imetosha.
Unabadili mifumo kila siku😃Nimechoka kuhangaika na mifumo nikaona bora niishirikishe akili mnemba 😂
View attachment 3340582
View attachment 3340583
Sasa nihakikishe natrain kupiga pasi sahihi na kupiga krosi, kuhusu mfumo sasa imetosha.