Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Ningempata Rumminnegga ungenikimbia mazima wewe😃😃Nitazitupa kwa faida wewe umezitupa kwa hasara 😂
Ningempata Rumminnegga ungenikimbia mazima wewe😃😃Nitazitupa kwa faida wewe umezitupa kwa hasara 😂
Umetuwakilisha vyema JF eFootball Gamers 😂Hilo ndo kubwa yeye ni nano asifunngwe😃😃😃✊
Kukukimbia hiyo sahau kabisa 😂Ningempata Rumminnegga ungenikimbia mazima wewe😃😃
List ya formation ni kubwa mkuu, sasahivi nimeweka 4-3-3(Diamond).Razorblade jaribu hii formation kakaView attachment 3339203
Ile kauli initia hasira mno 😃😃😃kwamba me nacheza madudu amaUmetuwakilisha vyema JF eFootball Gamers 😂
Nipo hapa nikimpata huyo we kimbia tuuKukukimbia hiyo sahau kabisa 😂
Huwa natumia 4.2.1.3 DMF 1, CMF 1 NA AMF 1..
Batistuta yupo wap hapa??View attachment 3339239
Mfumo ambao mara nyingi naukubali 🔥😂
Inafanan kdg sema hiyo inakuwa na AMF wawiliView attachment 3339239
Mfumo ambao mara nyingi naukubali 🔥😂
Kama muda nitaoingia utakuwa online sawa, kuna series hapa inabidi nitazame ziishe nianze zingine 😂Nipo hapa nikimpata huyo we kimbia tuu
Alafu twende leo😃😃
Utaniletea mifumo mingapi sasa itakayokusumbua maana huu mfumo wa pili sasa unaniletea 😂Jaribu hiyo kaka utanishukuru baadae😃😃me imenisumbua sana leo kukaba na jana nadhani Guilberto anatumia hii naye
Hii screenshot ya zamani nilikuwa bado sijampata.Batistuta yupo wap hapa??
Vijana mna pigana mabiti, siku niki washa mitambo nita gawa dozi maboya nyieUtaniletea mifumo mingapi sasa itakayokusumbua maana huu mfumo wa pili sasa unaniletea 😂
Mfumo wowote ule inategemea na mtumiaji pamoja na aina ya wachezaji utakaowatumia kwemye huo mfumo.
😀Vijana mna pigana mabiti, siku niki washa mitambo nita gawa dozi maboya nyie
Hiyo dozi itakuwa mseto 😂Vijana mna pigana mabiti, siku niki washa mitambo nita gawa dozi maboya nyie
Mzee Iko kikosi😃😃nikipata asee Razorblade ata acheze tiki taka ni kufa tuu🤣🤣View attachment 3339239
Mfumo ambao mara nyingi naukubali 🔥😂
Series naangalia snowfalls kwa siku episode moja na yenyewe mpaka simh ikate moto basi😃😃Kama muda nitaoingia utakuwa online sawa, kuna series hapa inabidi nitazame ziishe nianze zingine 😂