Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Me mchezo wako naujua😃😃unakufaa sana huu...Utaniletea mifumo mingapi sasa itakayokusumbua maana huu mfumo wa pili sasa unaniletea 😂
Mfumo wowote ule inategemea na mtumiaji pamoja na aina ya wachezaji utakaowatumia kwemye huo mfumo.
We jaribu there is no harm in trying😃😃